Rais Jakaya Kikwete na Mkewe mama Salma wakiwa katika picha ya pamoja na warembo wa Miss East Africa na kamati nzima ya mashinfdano hayo mara baada ya chakula cha jioni alichowaandalia Ikulu jana, warembo hao kutoka mataifa saba wanatarajia kupanda jukwaani kesho katika kinyang'anyiro kitakachofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, mshindi wa shindano hilo atajinyakulia gari aina ya Toyota Celica Sports yenye thamani ya dolla 24.000.
RAIS JAKAYA AWAKARIBISHA WAREMBO MISS EAST AFRICA KWA CHAKULA CHA JIONI!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment