Kampuni ya Flora Promotions ya jijini Mwanza imeaandaa shindano la kutafuta, kukuza na kuwezesha vipaji vya waimbaji wa muziki wa Injili liitwalo ZABURI GOSPEL SEARCH 2009, ili kueneza neno la mungu kupitia nyimbo.
Mkurugenzi wa kampuni ya Flora Promotions ambaye ndiye mratibu wa shindano hilo Bi.Flora Lauwo amefafanua hivi karibuni jijini Mwanza kuwa “Suala la zawadi liko wazi kabisa, ni kwamba mshindi wa kwanza atajinyakulia gari aina ya Toyota Vistar yenye thamani ya milioni nane,mshindi wa pili ataibuka na seti ya vyombo vya muziki vyenye thamani ya shilingi milioni moja na nusu kutoka kampuni ya Samila Mobile Sound,mshindi wa tatu atajinyakulia kitita cha shilingi laki mbili,lakini pia mshindi wa kwanza mpaka tano watarekodiwa albamu moja moja na studio za Habari Maalum” amesema Flora.
Flora ameongeza kuwa,kwa mara ya kwanza mwaka 2009, kipindi cha ZABURI GOSPEL SEARCH kimeanzia kanda ya Ziwa kwa kutafuta washiriki kila mkoa na kufanikiwa kuibuka na waimbaji watano ambapo jumla wamekuwa 20,anasema na kuongeza kuwa washiriki hao tayari wameingia kambini kujinoa tayari kwa michuano ambayo tayari imekwishaanza anza kurushwa hewani kupitia Star Tv na wananchi kuwapigia kura wakisaidiana na majaji kutafuta mwimbaji bora.
“ZABURI GOSPEL SEARCH 2009 itakuwa na matamasha makubwa matatu moja litakuwa ni robo fainali litakalofanyika mkoani Shinyanga tar,25/12/2009 na nusu fainali itakuwa Musoma mkoani Mara tar,27.12.2009, na fainali yenyewe itafanyikia jijini Mwanza Januari 1 2010, siku ya mwaka mpya

0 comments:
Post a Comment