Kaka habari za kazi, napenda kukutumia picha za maegesho ya magari, ECO PARKING, au GREEN PARKING, wadau wengi wamesema bongo tupo nyuma kuegesha magari katika nyasi, wengine wakasema mhandisi katembelea kichwa, pale uwanja mpya wa taifa, magari yanavyoegeshwa kwenye nyasi ni sahihi na sio wamekosea ndio inavyotakiwa.Nawashauri wadau kabla ya kucomment wawe wanafanya uchunguzi kidogo, watu wanaona wanaponda kumbe wanajidhalilisha wenyewe yaani gorofani wanaonekana ni watupu,mtandao si tambarare siku hizi bongo? au ndio internet tunatumia kwa ajili ya E_mail tu?mdau mtz.asanate kaka
HAYA NI MAWAZO YA MDAU AKIZUNGUMZIA JUU YA WATANZANIA KUEGESHA MAGARI KWENYE NYASI UWANJA WA TAIFA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment