Bw. Ali Nizam Meneja Mkuu wa Nizam Exhibitions Company akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo wakati alipotangaza Tamasha la Biashara ambalo linatarajiwa kufanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa kuanzia Oktoba 28 mpaka Novemba 10 litakaloshirikisha nchi 11 kutoka mashariki ya kati, Asia na Afrika Mashariki kushoto ni Dr. Ellen Otaru-Okoedion mratibu wa tamasha hilo.
TAMASHA LA BIASHARA KUFANYIKA JIJINI DAR!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment