
Mwanamziki huyu mkongwe Hamisi Kitambi amepata hajali akiwa katika gari yeye na wanamziki wenzie Msondo Ngoma walipokuwa safarini Tanga! Mzee Hamisi Kitambi kama anavyoonekana pichani,miguu imevunja na amewekewa vyuma,cha kusikitisha kuwa tangu apate hajali ndio katupwa si ,hana uduma muhimu,mtaji wa masikini ni MIGUU YAKE nayo ndio kama anavyoonekana,Je ! ni haki kwa mwanamziki au mwanadamu aliyechangia kujenga msingi wa fani ya mziki nchini kutupwa kama hivi?Basi ata kama hakuna bima ya kulipwa,ata ubinadamu usiwepo?Tujaribu kumsaidia mzee wetu huyu mwanamziki mkongwe Hamisi Kitambi anapatikana kwa simu hii Dar 0713576475
1 comments:
John Kitime upo wapi? chama chako kina faida gani na wanamuziki kama Hamisi Kitambi?
Post a Comment