Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) akimshukuru Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia mambo ya watoto (UNICEF) Heimo Laakkonen mara baada ya kupewa zawadi ya kanga iliyoandikwa “Tuungane kwa ajili ya watoto”. Laakkonen pamoja na Makamishina wenzake walitembelea ofisi za WAMA jana kwa ajili ya kutoa mrejesho wa shughuli ya ziara yao ya wiki moja waliyoifanya hapa nchini baada ya kupata mwaliko kutoka wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto.
Mama Salma Kikwete apewa zawadi na Mwakilishi wa UNICEF
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment