Makocha wa Timu ya Yanga Kocha mkuu Kondic mbele na msaidizi wake Spaso wakikatiza katika mtaa wa Samora jijini Dar es salaam mchana huu, hivi sasa timu hiyo iko katika maandalizi ya ligi kuu ya Vodacom ambayo inatarajiwa kuanza Agosti 23 2009, katika maandalizi hayo Yanga pia ijumaa itajitupa uwanjani kumenyana na timu ya URA kutoka Uganda katika kile walichosema kuonyesha vifaa vyao vipya na jezi watakazotumiakatika nyumbani na ugenini katika michezo yao ya ligi kuu, kama walivyofanya watani wao wa jadi simba walipoandaa tamasha lao na kucheza na Sports Club Villa ya Uganda pia mwishoni mwa wiki, Ziara hiyo ya timu ya URA kutoka Uganda inaratibiwa na Kampuni ya CXC Holding ya jijini
MAKOCHA WA YANGA WAKIVINJARI JIJINI, KUKUMBANA USO KWA USO NA URA YA UGANDA IJUMAA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
yaaaani angalau leo umeweka unazi pembeni kuweka habari za yanga..... ila kama kawaida ukamlizia na simbaaaaaa wewe ni kiboko
Post a Comment