Kaka wadau wanalalamika iweje Fm Academia wametoa hiyo cover ya album bila picha za wabongo wenzetu kina Josse Mara wala Seif Mbonda au hiyo album ni ya wakongo peke yao,ki ukweli inasikitisha sana kuona hiki kitu kinaendelea wakati ni ukweli ulio wazi kuwa Josse mara ndie aliyefanya Fm kukubalika sana na wabongo kwa sauti na utunzi wake mahiri….
Mdau lifikishe hili na tupate majibu sahihi maana tutashindwa kununua album hii na kuanza kuichukia bendi hii kwa ubaguzi huuu
Wapi picha ya josse mara au hawa wazaire wengine ndio muhimu zaidi ya wabongo waliopo kwenye hiyo bendi????????
Mdau lifikishe hili na tupate majibu sahihi maana tutashindwa kununua album hii na kuanza kuichukia bendi hii kwa ubaguzi huuu
Wapi picha ya josse mara au hawa wazaire wengine ndio muhimu zaidi ya wabongo waliopo kwenye hiyo bendi????????
6 comments:
kIUKWELI HII SIO SAWA KABISA NI UNYANYASAJI HIYO ALBUM WATANUNUA WAZAIRE WENZAO NOT US HILO WALIJUE WANADHANI TUNAPENDA UBAGUZI WAO .WAMETUCHOSHA KIUKWELI ,UONGOZI NAO NI WATANZANIA WAMEKAA TUUU
Josse hayupo kwene cover kwasababu yeye haja jichubua sura kwa mkorogo kama wao, wenyewe wanaamini kujichubua ndio mvuto ndio maana vijuo vyote mnavyo viona hapo vimekobolewa. mimisiku nyingi nilisha acha kusikiliza wala kununua nyimbo zao
acheni ubaguzi nyie!
MIMI NIKIWA KAMA SHABIKI MKUMBWA WA FMACADEMIA. NILIJIULIZA SWALI HILO, LAKINI BADALA YA KUIANGALIA VIDEO YOTE NI KWAMBA JOSE MARA HAKUWEPO KWENYE CONCERT SIKU HIYO KUTOKANA NA SABABU ZISIZO WEZA KUZUILKA, NDIO MAAANA HAKUWEPO KWENYE COVER SABABU VIDEO HII ILIKUWA LIVE CONCERT PALE MAKUMBUSHO. KWA HIYO TUWASAMEHE KWA HILO!!!
wizi mtupu.
aloo Haiwezekani tunataka kuona sura za wabongo hapa. kama vp kava libadilishwe fasta. Wasije wakatulaumu hawa wakongomani. Nyosh hebu weka foto ya Jose na msela wetu kabla mambo hayajaharibika ohoooo
Post a Comment