Hapa Hilda akiwaaga wageni waalikwa waliohudhuria katika tafrija ya kumuaga (Sendoff) iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam usikuwa wa kuamkia leo FULLSHANGWE tunamtakia Hilda maisha mema na yenye mafanikio kwa kila jambo hongera sana Hilda.
Hapa Hilida akiwa na mama mdogo wake Tina na kulia na mdogo wake katikati wakipozi kwa picha.
Hilida akilishwa keki na matron wake hii ni furaha kwake na kwa wazazi pia.
Hilda akikata keki katika tafrija ya Sendoff yake usiku wa kuamkia leo.
0 comments:
Post a Comment