RAIS MWAI KIBAKI AKILAKIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS JAKAYA KIKWETE MARA BAADA YA KUWASILI!!

Rais Jakaya Kikwete akimtambulisha mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya kwa mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa mwalimu Julius K. Nyerere leo rais mwai Kibaki yuko nchini kwa ziara ya kiserikali picha kwa hisani ya Bongo Pix.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment