Mugada anayeishi katika jiji la Connecticut Marekani amesema amekuwa akifanya muziki wa Hiphop nchini Marekani toka mwaka 2000 na tayari ana nyimbo kama Juu kama Obama,mama,ZigZag Hussle na Thought they can be ambazo anatarajia atakamua nazo wakati wa onyesho hilo jijini Arusha.
MWANA HIPHOP MTANZANIA RENATUS MUGANDA KUTOKA MAREKANI KUKANDAMIZA JIJINI ARUSHA IDD PILI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment