FAIDIKA NA BBC 2009 YAENDELEA KUPATA WAWAKILISHI WA NCHI MBALIMBALI!!

Mshindi wa fainali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Nyota Angelique.

Fainali za kitaifa za Faidika na BBC 2009 zinaendelea kuwapambanisha vijana wenye vipaji vya biashara. ambapo nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Burundi tayari zimekwishapata wakilishi wao baada ya kushinda fainali za kitaifa kwenye nchi hizo. Bi Nyota Angelique, mwenye umri wa miaka 23 alishinda fainali iliyofanyika Bukavu tarehe 13 Julai 2009. Burundi Nchini Burundi, Ciza Bone, mwenye umri wa miaka 23 kutoka mkoa wa Makamba alishinda baada ya kuwasilisha mchanganuo wake unaolenga biashara ya kutoa mbegu bora za zao la muhogo. Washindi wa Rwanda, Tanzania, Kenya na Uganda watafuatia kadri wanavyopatikana.
Mshindi wa fainali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Nyota Angelique.Mwaka huu mshindi atajizolea dola elfu tano za kimarekani (US$ 5,000), pamoja na kombe

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment