Amesema ushindi wa wabunge hao unawapa faraja wanawake wote na kuonyesha kuwa sasa jamii inaanza kuwakubali wanawake na mchango wao kwa taifa letu, hivyo akawataka wanawake wote kuwa kitu kimoja na kujituma zaidi katika kazi ili waweze kuaminiwa kama wabunge hawa wawili walioshinda katika majimbo ya uchaguzi ya Busanda Tanzania Bara na Magogoni Zanzibar.
WAZIRI WA JINSIA AWAPONGEZA WANAWAKE WALIOSHINDA BUSANDA NA MAGOGONI ZANZIBAR!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment