WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWASILI DODOMA KWA VIKAO VYA BUNGE!!

Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda akiwasili katika uwanja wa ndege mjini Dodoma akiwa ameongozana na mkewe mama Tunu Pinda Tayari kwa kuhudhuria vikao vya Bunge vilivyoanza leo mjini humo kulia ni aliyekuwa mkuu wa mkoa huo William Lukuvi akiwa akiongozana na Waziri mkuu.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment