
Hebu licheki poozi la Irene Uwoya mchezaji wa Filamu anayechipukia sana hivi sasa katika filamu za kibongo nchini huyu amekuwa mcheza Filamu mwenye uwezo mkubwa katika kuuvaa uhalisia wa kile anachokiigiza mara anapopewa nafasi ya kuigiza amekuwa akionyesha mambo makubwa hasa anapopewa nafasi ya kuigiza kama mpenzi wa mwanaume fulani katika Filamu amekuwa akiwavutia mashabiki wengi wa filamu za kibongo Hongera Irene Uwoya kwa kazi nzuri ambayo unafanya katika kuigiza filamu kama umewahi kuona Filamu inayoitwa
Oprah ambalo ni jina lake la uigizaji katika Filamu hiyo Uwoya aliigiza kama mpenzi wa Raymondi Kigosi maarufu kama Ray na ameonyesha uwezo mkubwa Filamu nyingine ni
Shakila ameigiza kama Shakila akiwa mpenzi wa Ray tena.
1 comments:
Duh! Hiyo caption ndugu yangu!!!! Hakuna koma, wala nukta!!! Inatisha namna hii!
Post a Comment