WAZEE WA NGWASUMA NI MAKAMUZI TU!!

Hee hiyo ndiyo staili ya mugongomugongo au, ah! tuyaache wadau kitu muhimu kupata shangwe tu.
Kundi zima la vijana wa mujini Fm Academia wakishambulia jukwaa.

Mambo ya wazee wa ngwasuma Full kushangweka tu kama unavyoona mdau wetu hii ilikuwa ni usiku wa kuamkia leo pale kijiji cha Makumbusho.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment