Mkuu wa mkoa wa Dar es alaam Mh. Abbas Kandoro anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima katika shindano la Safari Lager Nyama Choma 2009 linalotarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Leaders Kinondoni jumapili ijayo machi 29, katika shindano hilo mabaa mbailmbali yenye majiko ya kuchoma nyama yatashindana lili kumpata mshindi wa shindano hilo kwa mwaka huu wadau wote mnakaribishwa ili mpate ladha tofauti ya nyama choma katika picha ni mkuu wa mkoa akiongea na wananchi katika moja ya mikutano yake. KANDORO MGENI WA HESHIMA FAINALI YA NYAMA CHOMA LEADERS!!
Posted by
ADMIN
Labels:
fullshangwe
Mkuu wa mkoa wa Dar es alaam Mh. Abbas Kandoro anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima katika shindano la Safari Lager Nyama Choma 2009 linalotarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Leaders Kinondoni jumapili ijayo machi 29, katika shindano hilo mabaa mbailmbali yenye majiko ya kuchoma nyama yatashindana lili kumpata mshindi wa shindano hilo kwa mwaka huu wadau wote mnakaribishwa ili mpate ladha tofauti ya nyama choma katika picha ni mkuu wa mkoa akiongea na wananchi katika moja ya mikutano yake. You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment