
Mwanamitindo Khadija Mwanamboka akimponeza Mustafa Hassanali mara baada ya onyesho lake kumalizika onyesho hilo lilifanyika Lttle Thietre Club jijini, mdau kwa matukio zaidi katika picha shuka chini upate kujua kila kilichojiri katika onyesho hilo zuri na la kuvutia.

Mustafa Hassanali akiwa na wanamitindo wake waliokuwa wamevalia mavazi ya harusi onyesha la Malkia lilikuwa ni moja ya maonyesho ya Mmavazi bora sana kati ya yale yaliyowahi kuonyeshwa hapa nchini na yalikuwa ya kuvutia sana ambapo baadhi ya watazamaji wakisikika wakisema kweli hassanali amefanya kazi nzuri na anaweza kwa ameuanza mwaka vyema katika kazi nzima ya maonyesha ya mavazi na mitindo nchini.

Duh huyu naye akajichanganya vilivyo na kuonyesha mtindo wake wa nywele ilikuwa inafurahisha mdau.

0 comments:
Post a Comment