Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Marcio Maximo akiongea na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika leo FMJ Hotel jijini wakati wadhamini wa Timu hiyo Benki ya NMB walipotoa vifaa mbalmbali vya michezo kwa ajili ya Timu hiyo amabayo inakabiliwa na mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Msumbiji (The Mambas) unaotarajiwa kupigwa leo jumatano katika uwanja mkuu wa Taifa wanaofuatia ni makamu wapili wa Rais TFF Jamal Byser, Afisa biashara mkuu benki ya NMB Bw. Bans Nirop, na Afisa mwanadamizi wa uhusiano NMB Shyrose Banji.
NMB KAMA KAWA YAMWAGA VIFAA TAIFA STARS KABLA YA KUVAANA NA THE MAMBAS!!
Posted by
ADMIN
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Marcio Maximo akiongea na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika leo FMJ Hotel jijini wakati wadhamini wa Timu hiyo Benki ya NMB walipotoa vifaa mbalmbali vya michezo kwa ajili ya Timu hiyo amabayo inakabiliwa na mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Msumbiji (The Mambas) unaotarajiwa kupigwa leo jumatano katika uwanja mkuu wa Taifa wanaofuatia ni makamu wapili wa Rais TFF Jamal Byser, Afisa biashara mkuu benki ya NMB Bw. Bans Nirop, na Afisa mwanadamizi wa uhusiano NMB Shyrose Banji.
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment