Madgo Rzepkowska (kulia) akiwacheze mchezo wa karata unaoitwa ‘Black Jack’ baadhi ya washiriki wa Tamasha la Filamu za nchi za Umoja wa Ulaya, wakati wa uzinduzi wa tamasha hilo katika ukumbi wa New World Cinema juzi usiku. Tamasha hilo la wiki tatu limedhaminiwa na Zain Tanzania.
MAMBO YA ZAIN KATIKA TAMASHA LA EUROPEAN FILM FESTIVAL NEW WORD CINEMA 9/10/2008
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment