ART IN TANZANIA YANZINDUA BENDI YA ZEMKALA KAENI MKAO WA KUPATA SHANGWE WADAU!!!





Baadhi ya wanamuziki wa Bendi ya Zemkala wakiwa jukwaani mara baada ya Uzinduzi wa Bendi hiyo ambao ulienda sambamba na kuzindua jarida la Fiesta jumamosi iliyopita 11/10/2008.


Squizer kushoto na D. Nob wakifanya vitu vyao hawa ni wasanii ambao pia wako katika hii ya ART IN TANZANIA.

Benjamin akiwa na Familia yake mke wake na mtoto wake katika uzinduzi huo ambapo uliambatana na sherehe ya Birthday yake.
Mika Mwamba kutoka Art In Tanzania akiwa Mitamboni Mika ni Producer anayeheshimika sana nchini kutokana na uwezo wake katika kazi za kutengeneza muziki big up sana mzee.

Mandojo na Domokaya wakiimba mara baada ya uzinduzi wa Bendi ya Zemkala jumamosi iliyopita huko Mbezi Beach wasanii hao hivi sasa wamejiunga na tasisi ya Art In Tanzania.




You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment