PROFESSA J


Pichani ni wasani nyota wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva Prof Jay a.k.a Dady akiacha ujumbe ndani ya viwanja vya mnazi mmoja kwenye Kongamano lililoitwa Tuwajali wenzetu, lililoandaliwa na kituo cha redio ya Times Fm ya jijini Dar. Katika kongamano hilo mgeni rasmi alikuwa kamanda wa jiji la Dar Kamanda Suleiman Kova.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment