BREAKING NEWS
HABARI ZILIZOIFIKIA FULLSHANGWE ZINASEMA PRODUCER MAARUFU HAPA NCHINI ROY BUKUKU AMEFARIKI DUNIA, HABARI HIZO ZIMEONGEZA KUWA ROY AMEFARIKI HUKO MBEYA JANA NA ALIKUWA AKISUMBULIWA NA UGONJWA WA INI, FULL SHANGWE INAWAPA POLE WAFIWA, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO KWANI TUMEMPOTEZA MTU MUHIMU KATIKA FANI YA MUZIKI WA BONGO FLEVA MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMEN
0 comments:
Post a Comment