Zahra Seleman ajinyakulia taji la Vodacom Miss Arusha City Center- 2010!!

Vodacom Miss Arusha City Center-2010, Zahra Selemani (kati), akiwa na mshindi wa pili Glady Mollel (wa kwanza kulia) aliyeweza kujinyakulia taji la kuwa Balozi wa hoteli ya Naura Springs ya jijini Arusha pamoja na mshindi wa tatu, Bertha Dennis (kushoto) aliyejinyakulia taji la kuwa Miss Arusha City Center Talent.

Warembo waliofanikiwa kuingia tano bora wakiwa katika picha ya pamoja na Vodacom Miss Arusha City Center-2010, Zahra Selemani


Meza ya majaji wa shindano la Vodacom Miss Arusha City Center 2010 lililofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki, kushoto ni msanii kutoka nchini Kenya, CBM Prezoo, Nsia Swai, jaji mkuu Danford Mpumilwa, Edna Kallape pamoja na Ervin Nunes wakifuatilia mashindano hayo.

Washiriki wa Vodacom Miss Arusha City Center wakitoa burudani mara baada ya kutambulishwa


Mtangazaji wa EATV, Dominic Nyarifa ambaye alikuwa ni mshereheshaji wa tukio hilo wakitoa burunani na msanii kutoka mchini Kenya CBM Prezoo katika shindano hilo.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment