SIMBA YACHAPWA 5-1 NA WAARABU WA HARAS EL HADOOD NA KUAGA MASHINDANO!!

Simba tayari imeshapigwa goli la tano na haras El Hadood yaani 5-1 katika michuano hii ya kombe la Shirikisho la CAF hivyo kwa matokeo hayo timu ya Simba imeaga michuano hiyo , mchezo huo umemalizika hivi punde na itarejea wakati wowote nyumbani kuendelea na programu nyingine ,poleni sana wana msimbazi lakini pia hongereni kwa kufanikiwa kulifanya zoezi la kuchaguana kesho.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment