NI WAKATI WA KUSUBIRI KUINGIA DARASANI!!

"Ah madawati yenyewe hakuna Darasani mi naona twende baadae tu" ni kama ndiyo wanavyosema watoto wa shule ya msingi nkuhungu baada ya kukutwa wakiwa wamepumzika wakisubiri muda wa kuingia darasani hivi karibuni majina ya hayakupatikana mara moja picha hii ilipigwa na mpigapicha Mwanakombo Jumaa wa Idara ya Habari Maelezo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment